👁️ 45 views

Mbona Nyinyi Waislamu viongozi mnadhulumu watu wenu nyumbani na kila siku mnavaa buibui? Kwanini akina mama wenu wameachwa kuhangaika, hakuna maji, hakuna barabara na mko hapa Nairobi mnajega flats kubwa kubwa ati nko na pesa. Parklands mmejaza majumba kubwa kila siku ni mafundi kwa mijengo?

See also  The government should not be...