👁️ 31 views

Ruto : Nimejengea Gachagua barabara ya kwenda kwake, I wonder why Kalonzo amekuwa kwa Uongozi 40 years na barabara yake ni vumbi! Kwani si angeuliza Kibaki amemjengee akiwa naibu wake?

Hata akiwa Deputy wa Kibaki hakukanyaga hapa Nyeri hata siku moja. Hata la kushangaza hajui Kenya mzima. Hakujituma sasa huyo si ni mtu buree tuu.

See also  Museveni Casting his Vote Vs Bobi Wine